Date: 
25-07-2018
Reading: 
2 Corinthians 7:11-12 (2 Wakorintho 7:11-12)

WEDNESDAY 25TH JULY 2018 MORNING                           

2 Corinthians 7:11-12 New International Version (NIV)

11 See what this godly sorrow has produced in you: what earnestness, what eagerness to clear yourselves, what indignation, what alarm, what longing, what concern, what readiness to see justice done. At every point you have proved yourselves to be innocent in this matter. 12 So even though I wrote to you, it was neither on account of the one who did the wrong nor on account of the injured party, but rather that before God you could see for yourselves how devoted to us you are.

This week we are thinking about the importance of repentance. The Apostle Paul had written to the church at Corinth about an incident of sin within the church. Paul was happy that the church had repented.

Let us always be ready to ask forgiveness from God and from anyone whom we have hurt whenever we have done wrong. This will bring inner peace and harmony with others.

JUMATANO TAREHE 25 JULAI 2018 ASUBUHI           

2   KORINTHO 7:11-12

11 Maana, angalieni, kuhuzunishwa kuko huko kwa jinsi ya Mungu kulitenda bidii kama nini ndani yenu; naam, na kujitetea, naam, na kukasirika, naam, na hofu, naam, na shauku, naam, na kujitahidi, naam, na kisasi! Kwa kila njia mmejionyesha wenyewe kuwa safi katika jambo hilo. 
12 Basi, ijapokuwa naliwaandikia, sikuandika kwa ajili yake yeye aliyedhulumu, wala si kwa ajili yake yeye aliyedhulumiwa, bali bidii yenu kwa ajili yetu ipate kudhihirishwa kwenu mbele za Mungu. 


Wiki hii tunatafakari kuhusu umuhimu wa toba. Mtume Paulo aliwaandikia kanisa kule Korintho kuhusu dhambi ndani ya Kanisa. Walitubu na Mtume Paulo alifurahi.

Tuwe tayari kutubu dhambi zetu kila wakati tunapokosa na pia kumwomba msamaha kwa mtu yoyote ambayo tumemuumiza.   Hii italeta amani moyoni na katika kanisa na jamii.