Psalm 18:21-25 (Zaburi 18:21-25)
06-07-2019
Let us be faithful to God and obey His commandments. Tuwe waaminifu kwa Mungu na tutii amri zake. {Pastor P Chuwa}
James 4:13-17 (Yakobo 4:13-17)
05-07-2019
Put God first before your plans. Mtangulize Mungu katika mipango yako. {Pastor P Chuwa}
Deuteronomy 6:14-15 (KUMBUKUMBU LA TORATI 6:14-15)  
04-07-2019
Seek First the Kingdom of God and His righteousness. Tutafute kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake. {Pastor P Chuwa}
Luke 14:16-24
03-07-2019
Seek first the Kingdom of God. Tafuta kwanza Ufalme wa Mungu. {Pastor P Chuwa}
Acts 4:1-12 (Matendo 4:1-12)
01-07-2019
Let us trust in Jesus as our Lord and Saviour. Tumtegemee Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu. {Pastor P Chuwa}
Matthew 6:19-21
24-06-2019
What are our priorities in life? Nini kipaombele cha maisha yako? {Pastor P Chuwa}
Proverbs 18:1 (Methali 18:1)
22-06-2019
Let us be peace makers. Tuwe watu wa kuleta amani. {Pastor P Chuwa}
Genesis 45:21-24 (Mwanzo 45:21-24)
21-06-2019
Let us do our best to be peacemakers. Tujitahidi zaidi kuwa mpatanishi. {Pastor P Chuwa}
2 Corinthians 6:1-10
20-06-2019
Trust in Jesus as your Lord and Saviour and ask the Holy Spirit to guide and strengthen you. Mwanini Yesu kuwa Bwana na Mokozi wako, na omba Roho Mtakatifu aendelee kukutia nguvu. {Pastor P Chuwa}
Exodus 33:12-17 (Kutoka 33:12-17)
18-06-2019
The Holy Spirit will lead and guide us if we listen to Him. Tukimtii Roho Mtakatifu atatusaidia na kutuongoza katika maisha yetu. {Pastor P Chuwa}

Pages