Date: 
15-11-2016
Reading: 
Tues 15/11/16, Luke 21:5-9 (NIV)

TUESDAY 15TH NOVEMBER 2016 MORNING                              

Luke 21:5-9 New International Version (NIV)

The Destruction of the Temple and Signs of the End Times

Some of his disciples were remarking about how the temple was adorned with beautiful stones and with gifts dedicated to God. But Jesus said, “As for what you see here, the time will come when not one stone will be left on another; every one of them will be thrown down.”

“Teacher,” they asked, “when will these things happen? And what will be the sign that they are about to take place?”

He replied: “Watch out that you are not deceived. For many will come in my name, claiming, ‘I am he,’ and, ‘The time is near.’ Do not follow them. When you hear of wars and uprisings, do not be frightened. These things must happen first, but the end will not come right away.”

Jesus spent much time teaching His disciples about what would come in the future. Here He talks about the destruction of the Temple in Jerusalem which took place in 70 AD. He also says some things about the end of the world and what will happen before Jesus comes back again in glory.

There are many different teaching about what will happen at the end of the world and it can be confusing as to know what to believe. But we can be sure that Jesus will come again one day in Glory to judge the living and those who have already died. The important thing for us is to be ready. To trust in Jesus Christ as our Lord and saviour , to daily repent our sins and to try to live a life pleasing to God.     

 

JUMANNE TAREHE 15 NOVEMBA 2016 ASUBUHI                            

LUKA 21:5-9

5 Na watu kadha wa kadha walipokuwa wakiongea habari za hekalu, jinsi lilivyopambwa kwa mawe mazuri na sadaka za watu, alisema, 
6 Haya mnayoyatazama, siku zitakuja ambapo halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa. 
7 Wakamwuliza wakisema, Mwalimu, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini ishara ya kuwa mambo hayo ya karibu kutukia? 
8 Akasema, Angalieni, msije mkadanganyika, kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye; tena, Majira yamekaribia. Basi msiwafuate hao. 
9 Nanyi mtakaposikia habari za vita na fitina, msitishwe; maana, hayo hayana budi kutukia kwanza, lakini ule mwisho hauji upesi. 

 

Yesu mara kwa mara alifundisha wanafunzi wake kuhusu mambo yatayetokea. Hapa juu anawafundisha kuhusu kuteketea kwa Hekalu kule Yerusalemu ambaye ilitokea mwaka 70BK. Pia anatoa maelezo fulani kuhusu mambo yatakayetokea kabla ujio wake wa pili.

Kuna mafundisho mengi kuhusu mwisho wa dunia na yanaweza kutuchanganya. Lakini tunao uhakika kwamba Yesu Kristo atarudi kwa utukufu kuhukumu walio hai na wafu. Basi tuhakikishe kwamba tutakuwa tayari. Tumtegemee Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wetu. Tutubu dhambi kila siku na tujitahidi kuishi maisha matakatifu.