Date: 
22-11-2016
Reading: 
Tue 22nd Nov, Revelation 22:16-17

TUESDAY 22ND NOVEMBER 2016 MORNING           

Revelation 22:16-17  New International Version (NIV)

16 “I, Jesus, have sent my angel to give you[a] this testimony for the churches. I am the Root and the Offspring of David, and the bright Morning Star.”

17 The Spirit and the bride say, “Come!” And let the one who hears say, “Come!” Let the one who is thirsty come; and let the one who wishes take the free gift of the water of life.

Footnotes:

  1. Revelation 22:16 The Greek is plural.

In these words at the end of the Book of Revelation we hear an invitation to come to Christ in faith. Jesus Christ is the one who gives us living waters. We are welcomed to come to Him in faith and repent of our sins and trust in Jesus Christ. He will forgive our sins and give us Eternal life.

 

JUMANNE TAREHE 22 NOVEMBA 2016 ASUBUHI         

UFUNUO 22:16-17

16 Mimi Yesu nimemtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daudi, ile nyota yenye kung'aa ya asubuhi. 
17 Na Roho na Bibi-arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure. 
 

Katika maneno haya  mwishoni wa kitabu cha Ufunuo wa Yohana tunasikia wito wa kuja kwa Yesu kwa imani. Tunaitwa kumwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu. Je! Unamwamini Yesu Kristo kweli na siyo kutegemea matendo yako mema? Mwamini Yesu Kristo na tubu dhambi zako na utapokea zawadi ya maisha ya milele.