Date: 
17-08-2020
Reading: 
Romans 3:9-18

MONDAY 17TH AUGUST 2020 MORNING                                                                       

Romans 3:9-18 New International Version (NIV)

What shall we conclude then? Do we have any advantage? Not at all! For we have already made the charge that Jews and Gentiles alike are all under the power of sin. 10 As it is written:

“There is no one righteous, not even one;
11     there is no one who understands;
    there is no one who seeks God.
12 All have turned away,
    they have together become worthless;
there is no one who does good,
    not even one.”[
b]
13 “Their throats are open graves;
    their tongues practice deceit.”[
c]
“The poison of vipers is on their lips.”[d]
14     “Their mouths are full of cursing and bitterness.”[e]
15 “Their feet are swift to shed blood;
16     ruin and misery mark their ways,
17 and the way of peace they do not know.”[
f]
18     “There is no fear of God before their eyes.”[g]

Our first problem as fallen human beings is not that we do not have what we need or want, but that we are in rebellion against God and are in need of forgiveness, righteousness, and reconciliation. We are under condemnation without Christ. 


JUMATATU TAREHE 17 AGOSTI 2020 ASUBUHI                               

WARUMI 3:9-18         

Ni nini basi? Tu bora kuliko wengine? La! Hata kidogo. Kwa maana tumekwisha kuwashitaki Wayahudi na Wayunani ya kwamba pia wamekuwa chini ya dhambi;
10 kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja.
11 Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu.
12 Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.
13 Koo lao ni kaburi wazi, Kwa ndimi zao wametumia hila. Sumu ya fira i chini ya midomo yao.
14 Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.
15 Miguu yao ina mbio kumwaga damu.
16 Uharibifu na mashaka yamo njiani mwao.
17 Wala njia ya amani hawakuijua.
18 Kumcha Mungu hakupo machoni pao.

Tatizo la kwanza kwetu sisi wanadamu tulioanguka dhambini siyo kwamba hatuna mahitaji yetu au yale tunayotaka, bali ni kwamba tumeasi mbele za Mungu; na kwamba tunahitaji msamaha, haki na upatanisho. Pasipo Kristo, tuko chini ya hukumu.