Date: 
09-11-2016
Reading: 
Revelation 7:9-12 New International Version (NIV)

WEDNESDAY 9TH NOVEMBER 2016 MORNING                           

Revelation 7:9-12  New International Version (NIV)

The Great Multitude in White Robes

After this I looked, and there before me was a great multitude that no one could count, from every nation, tribe, people and language, standing before the throne and before the Lamb. They were wearing white robes and were holding palm branches in their hands. 10 And they cried out in a loud voice:

“Salvation belongs to our God,
who sits on the throne,
and to the Lamb.”

11 All the angels were standing around the throne and around the elders and the four living creatures. They fell down on their faces before the throne and worshiped God, 12 saying:

“Amen!
Praise and glory
and wisdom and thanks and honor
and power and strength
be to our God for ever and ever.
Amen!”

In this vision given to The Apostle John he catches a glimpse of heaven. It is wonderful to know that in Heaven people from every tribe and nation and language will be united in worshipping God. They will forget all their differences and together worshipping God.

Even here on earth Christians should love God and one another. Let us emphasize our unity in Christ and give Him all the honour and glory.

 

JUMATANO TAREHE 9 NOVEMBA 2016 ASUBUHI                

UFUNUO 7:9-12

9 Baada ya hayo nikaona, na tazama, mkutano mkubwa sana ambao hapana mtu awezaye kuuhesabu, watu wa kila taifa, na kabila, na jamaa, na lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwana-Kondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao; 
10 wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo. 
11 Na malaika wote walikuwa wakisimama pande zote za kile kiti cha enzi, na za hao wazee, na za wale wenye uhai wanne, nao wakaanguka kifulifuli mbele ya kile kiti cha enzi, wakamsujudu Mungu, 
12 wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina. 


Mtume Yohana anapata maono ya jinsi ilivyo na itakavyo kuwa mbinguni. Watu wa kila taifa, kabila na lugha watamwabudu Mungu pamoja. Watapendana na kushirikiana bila ubaguzi.

Hapa duniani mara nyingi tunaona ubaguzi wa kundi mmoja dhidi ya mwingine. Lakini kwa sisi Wakristo tunapaswa kuwa na umoja na kupendana kwa sababu wote tupo ndani ya Yesu. Tupendane na tumpe Yesu heshima yote.