Date: 
21-05-2019
Reading: 
Psalm 144:9-10 (Zaburi 144:9-10)

TUESDAY 21ST MAY 2019 MORNING                                           

Psalm 144:9-10 New International Version (NIV)

I will sing a new song to you, my God;
    on the ten-stringed lyre I will make music to you,
10 to the One who gives victory to kings,
    who delivers his servant David.

From the deadly sword

King David sings praises to God and makes music on the lyre. He praises God because He is worthy and God gave victory to David.

Are you praising God? Are you singing to Him? Perhaps you are going through a hard time in your life. Perhaps you don’t feel like praising God. Think of all the ways in which God has blessed you. Despite your problems God is good and loving to you every day. Turn to Him in prayer and singing and He will lift you up and give you joy in your heart. 


JUMANNE TAREHE 21 MEI 2019 ASUBUHI                             

ZABURI 144:9-10

Ee Mungu, nitakuimbia wimbo mpya, Kwa kinanda chenye nyuzi kumi nitakuimbia. 
10 Awapaye wafalme wokovu, Amwokoa Daudi, mtumishi wake, na upanga wa uovu. 

Mfalme Daudi anamsifu Mungu katika nyimbo na kwa kinanda. Daudi anamsifu Mungu kwa sababu anastahili sifa na alimwokoa Daudi na adui zake.

Je ! wewe unamsifu Mungu? Unamwimbia Mungu nyimbo mpya? Labda unapita nyakati ngumu katika maisha yako. Labda una huzuni. Lakini Mungu bado ni mwema amekubariki katika mambo mengi. Tafakari uzuri wa Mungu na uanze kumsifu. Ukifanya hivi Mungu atakuinua na kurejesha furaha yako.