Date: 
07-10-2017
Reading: 
Proverbs 3:6-8 NIV (Mithali 3:6-8)

SATURDAY 7TH OCTOBER  2017 MORNING                          

Proverbs 3:6-8 New International Version (NIV)

Importance of respecting God’s guidelines in every circumstances of human’s life.

In all your ways submit to him, and he will make your paths straight

Do not be wise in your own eyes; fear the Lord and reject evil.
This will bring health to your body and nourishment to your bones.

Message:

In very situation of our life, it is important to begin, continue, and end every work, or purpose, with God. This is because God is able to lead us in the right path towards our achievements.

JUMAMOSI TAREHE 7 OKTOBA 2017 ASUBUHI                     

Mithali 3:6-8

Umuhimu wa kuheshimu uongozi wa Mungu katika kila hali ya maisha ya binadamu.

 6Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. 
7 Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche Bwana, ukajiepushe na uovu. 
8 Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako. 

Ujumbe:

Katika kila hali ya maisha yetu, ni muhimu kuanza, kuendelea na kuhitimisha kila kazi au kusudi pamoja na Mungu. Hii ni kwa sababu Mungu anaweza kutuongoza katika njia sahihi kuelekea kwenye mafanikio yetu.