Date: 
23-08-2018
Reading: 
Proverbs 10:20-21  (Methali 10:20-21)

THURSDAY 23RD  AUGUST 2018 MORNING                               

Proverbs 10:20-21 New International Version (NIV)

20 The tongue of the righteous is choice silver,
    but the heart of the wicked is of little value.

21 The lips of the righteous nourish many,
    but fools die for lack of sense.

Our words are important. God hears every word we say. How often do we speak words hastily in anger and impatience?  If we love God we should also love other people. Our words should reflect what is in our hearts. Our words should be a blessing to people we meet. May our words be valuable like silver and nourishing to many people. May God help us today to speak many wise, kind and instructive words.   

ALHAMISI TAREHE 23 AGOSTI 2018 ASUBUHI                      

MITHALI 10:20-21

20 Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha teule; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. 
21 Midomo ya mwenye haki hulisha watu wengi; Bali wapumbavu hufa kwa kuwa hawana ufahamu. 
 

Maneno yetu ni muhimu. Mungu anasikia maeneno yetu yote. Mara kwa mara tunatamka maneno mabaya wakati tuna hasira au tunakosa uvumilifu. Maneno yetu yanaweza kuwa baraka au laana kwa jamii. Tutamani kuongea maneno mazuri ya baraka na busara na ya kuelimisha.