Date: 
04-01-2017
Reading: 
Philippians 3:13-16 (NIV)

WEDNESDAY 4TH JANUARY 2017 MORNING               

Philippians 3:13-16  New International Version (NIV)

13 Brothers and sisters, I do not consider myself yet to have taken hold of it. But one thing I do: Forgetting what is behind and straining toward what is ahead, 14 I press on toward the goal to win the prize for which God has called me heavenward in Christ Jesus.

Following Paul’s Example

15 All of us, then, who are mature should take such a view of things. And if on some point you think differently, that too God will make clear to you. 16 Only let us live up to what we have already attained.

Let us note the testimony of the Apostle Paul. Let us follow his example. Let us not carry the burden of last year.  In this New Year let us press towards our goal. Let it be our aim to follow Christ and to obey Him and to serve Him faithfully wherever He has placed us.  

 

JUMATANO TAREHE 4 JANUARI 2016 ASUBUHI                    

WAFILIPI 3:13-16

13 Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele; 
14 nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu. 
15 Basi sisi tulio wakamilifu na tuwaze hayo; na hata mkiwaza mengine katika jambo lo lote, Mungu atawafunulia hilo nalo. 
16 Lakini, hapo tulipofika na tuenende katika lilo hilo. 
 

Tutafakari ushuhuda wa Mtume Paulo. Tupo kwenye mwaka mpya. Tusibebe tena mizigo ya mwaka jana. Tusonge mbele. Tukaze mwendo. Tumfuate Yesu Kristo na tumtumikie mahali ambapo ametuweka.