Event Date: 
17-04-2025

Hii hapa Ratiba ya Ibada za Sikukuu ya Pasaka 2025 kama ambavyo zitafanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral. 

Washarika, wageni na wananchi wote kwa ujumla mnakaribishwa kujumuika nasi ili tumtukuze Mungu kwa pamoja katika Sikukuu hii muhimu ya Kuteswa, Kufa, Kuzikwa na Kufufuka kwa Bwana Wetu Yesu Kristo.

 

Wote mnakaribishwa!