Event Date: 
04-07-2024

Mpendwa Msharika, soma Tangazo lililopo hapa chini ili uelewe nini kinahitajika kuweza kushiriki katika ziara ya kwenda Usharika rafiki wa Messiah nchini Marekani mnamo mwezi Septemba 2025. Pia kama una vigezo vya kushiriki katika ziara hiyo, jiandikishe katika fomu iliyoambatanishwa hapa ili kuanza taratibu za awali za safari hiyo.

Asante.

 

TANGAZO

------------------------------------

ZIARA YA MESSIAH SEPT 2025

Kwa niaba ya Uongozi wa Usharika, Kamati ya Ushirikiano na Habari inapenda kuwatangazia kuwa tumepokea mwaliko kwa Washarika 10 (kumi), watu wazima, kutembelea Usharika rafiki wa Messiah, ulioko Marquette, Michigan, Marekani. Ziara hiyo itakuwa ya siku 10 (kumi), na itafanyika mwishoni mwa Mwezi Septemba mwakani (2025). Tarehe kamili zitatangazwa baadaye.

Wahusika watatakiwa kugharimia usafiri wao wa kwenda na kurudi, wenyeji watawatunza wakiwa kule. Gharama (Usafiri wa ndege, Visa, na Pocket money) zinakadiriwa kuwa US$ 3,500/- Kwa ajili ya maandalizi husika, wahusika watahitajika kukamilisha gharama na taratibu zote kufikia mwisho wa Mwezi April 2025.

Tunakaribisha Washarika kuchukua Fomu ya kujiandikisha kwa ziara hii, ambayo inapatikana Ofisini kwa Katibu wa Chaplain. Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 1 Oktoba 2024, ili kuwezesha tartibu za maandalizi na mawasiliano na wenyeji huko Messiah,

Kwa mawasiliano zaidi;

0763 746 338 / Mwenyekiti

0685 000 064 /Katibu

 

 

ANNOUNCEMENT

------------------------------------

INVITATION TO VISIT MESSIAH SEPT 2025

On behalf of the Azania Front leadership, the Partnership and Information Committee would like to inform you that, we have received invitation for 10 (ten) Congregants to visit our Partner Congregation of Messiah, which is in Marquette, Michigan, United States. It will be a 10 (ten) day visit to be undertaken towards the end of September 2025, next year. The actual dates of the visit will be announced in due course.

Participants will be required to meet the cost of their air travel to Marquette and return, visa expenses and pocket money; estimated at about 3,500 USD.  For planning purposes and adequate communication with our hosts, participants will be required to have paid all expenses and other preparations by end of April 2025.

We welcome interested congregants to collect registration forms for this visit from the Office of the Chaplain. Please see the Secretary. The deadline for registration will be 01st October 2024 (this year).

For further information call;

0763 746 338 – Chairman

0685 000 064 – Secretary

0715 384 468 – Bertha Semu-Somi