Date: 
12-11-2021
Reading: 
Mithali 10:7-9 (Proverbs)

IJUMAA TAREHE 12 NOVEMBER 2021

Mithali 10:7-9

7 Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka;

Bali jina la mtu mwovu litaoza.

8 Aliye na akili moyoni mwake atapokea agizo;

Bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka.

9 Aendaye kwa unyofu huenda salama;

Bali apotoshaye njia zake atajulikana.

Uenyeji wa mbinguni;

Mfalme Suleimani anatukumbusha kuwa haki huleta baraka, bali jina la mtu mwovu huoza! Anatufundisha kutumia akili, ili  kuingia katika ufalme wa Mungu, na siyo kuwa wapumbavu, ambapo mwisho wake ni kuanguka.

Tunakumbushwa kuishi kwa hekima ya Mungu, yaani akili iwazayo vizuri, tukitenda mema ili majina yetu yasioze, yaani ili Yesu akirudi asituache.

Nakutakia Ijumaa njema.


FRIDAY 12TH NOVEMBER 2021

Proverbs 10:7-9 NIV

7 The name of the righteous is used in blessings,[a]
    but the name of the wicked will rot.

The wise in heart accept commands,
    but a chattering fool comes to ruin.

Whoever walks in integrity walks securely,
    but whoever takes crooked paths will be found out.

Read full chapter

Footnotes

  1. Proverbs 10:7 See Gen. 48:20.

 

Citizenship of Heaven;

King Solomon reminds us that righteousness brings blessings, but the name of the wicked one will rot! He teaches us to use common sense to enter the kingdom of God, and not to be foolish, whose end is to fall.

We are reminded to live in the wisdom of God, that is to think positively, doing good so that our names do not rot, so that when Jesus returns he will not leave us.

I wish you a good Friday.