Date: 
21-02-2017
Reading: 
Matthew 16:19-20 (NIV)

TUESDAY 21ST FEBRUARY 2017 MORNING                             

Matthew 16:19-20  New International Version (NIV)

19 I will give you the keys of the kingdom of heaven; whatever you bind on earth will be[a] bound in heaven, and whatever you loose on earth will be[b] loosed in heaven.” 20 Then he ordered his disciples not to tell anyone that he was the Messiah.

Footnotes:

  1. Matthew 16:19 Or will have been
  2. Matthew 16:19 Or will have been

Jesus spoke these words to the Apostles after promising to build His church.

As Christians we are not to try to live our lives apart from the Church. Each of us needs to belong to a particular congregation. There we will receive nurture and discipline and have opportunities for fellowship and service. 

JUMANNE TAREHE 21 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                      

MATHAYO 16:19-20

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. 
20 Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ye yote ya kwamba yeye ndiye Kristo. 
 

Yesu alisema maneno haya wakatia aliongea na Mitume na baada ya kuahidi kujenga kanisa lake.

Wakristo wote tunapaswa kuwa washarika wa usharika fulani. Tusihame hame makanisa. Tuwe mahali ambapo tutalelewa kiroho na kupata mashauri ipasavyo. Pia ni sehemu kwa sisi kuwa na huduma na kushirikina na wakristo wengine.