Date: 
04-08-2018
Reading: 
Mathew 5:17-20

SATURDAY 4TH AUGUST 2018 MORNING MATTHEW 5:17-20

New International Version (NIV)

The Fulfillment of the Law

17 “Do not think that I have come to abolish the Law or the Prophets; I have not come to abolish them but to fulfill them. 18 For truly I tell you, until heaven and earth disappear, not the smallest letter, not the least stroke of a pen, will by any means disappear from the Law until everything is accomplished. 19 Therefore anyone who sets aside one of the least of these commands and teaches others accordingly will be called least in the kingdom of heaven, but whoever practices and teaches these commands will be called great in the kingdom of heaven.20 For I tell you that unless your righteousness surpasses that of the Pharisees and the teachers of the law, you will certainly not enter the kingdom of heaven.

 

Jesus is the only person who has ever fully kept God’s Laws.  

The Pharisees and teachers of the law were very diligent in appearing to obey God’s laws. They kept the outward form but often but often their hearts were far from God.

Jesus came to show us a better way. We can not exceed the righteousness of the Pharisees by our own efforts. We can only be righteous before God with the righteousness which He gives us. We need to keep repenting our sins and trust in Jesus for salvation. We also need to be lead by the Holy Spirit so that we can be sanctified and made more like Jesus Christ.   

 

JUMAMOSI TAREHE 4 AGOSTI 2018 ASUBUHI MATHAYO 5:17-20

Mathayo 5:17-20

17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 

18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie. 

19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. 

20 Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. 

 

Yesu ni mtu wa pekee alishika amri zote za Mungu . 

Mafarisayo na Waandishi walionekana kuwa na bidii sana kushika sheria za Mungu lakini mara nyingi mioyo yao zilikuwa mbali na Mungu.

Hatuwezi kuzidi haki ya Mafarisayo kwa nguvu zetu. Tunapaswa kuomba msamaha wa dhambi mara kwa mara na kumtegemea Yesu Kristo ambaye alitufia msalabani. Tupokea zawadi ya wokovu na haki kutoka Mungu. Pia tunapaswa kuongozwa na Roho Mtakatifu ili tupate utakaso.