Date: 
07-12-2019
Reading: 
Mathew 22:41-46

SATURDAY 7TH DECEMBER 2019  MORNING 
Matthew 22:41-46 New International Version (NIV)

41 While the Pharisees were gathered together, Jesus asked them, 42 “What do you think about the Messiah? Whose son is he?”
“The son of David,” they replied.
43 He said to them, “How is it then that David, speaking by the Spirit, calls him ‘Lord’? For he says,
44 “‘The Lord said to my Lord:
    “Sit at my right hand
until I put your enemies
    under your feet.”’[e]
45 If then David calls him ‘Lord,’ how can he be his son?” 46 No one could say a word in reply, and from that day on no one dared to ask him any more questions.

What do we think about Jesus Christ? Is he altogether glorious in our eyes, and precious to our hearts? May Christ be our joy, our confidence, and out strength. May we daily be made more like him, and more devoted to his service.


JUMAMOSI TAREHE 7 DESEMBA 2019  ASUBUHI     MATHAYO 22:41-46

41 Na Mafarisayo walipokusanyika, Yesu aliwauliza, akisema, Mwaonaje katika habari za Kristo?
42 Ni mwana wa nani? Wakamwambia, Ni wa Daudi.
43 Akawauliza, Imekuwaje basi Daudi katika Roho kumwita Bwana, akisema,
44 Bwana alimwambia Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwawekapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako?
45 Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe?
46 Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu ye yote tangu siku ile kumwuliza neno tena.


Je, tunafikiri Yesu Kristo ni nani? Yeye ni wa utukufu machoni petu, na wa thamani mioyoni mwetu? Tunaomba Kristo afanyike furaha kwetu, awe ni ujasiri na nguvu kwetu. Tunatamani kufanana naye kila siku, na zaidi tujitoe katika kumtumikia.