KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI

MATANGAZO YA USHARIKA

 TAREHE 23 OKTOBA, 2016

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI: TUNAITWA KUTENDA HAKI NA HURUMA

 1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
 1. Wageni: Wageni waliotufikia na Cheti ni.

        

 1. Jumapili ijayo tarehe 30/10/2016 tutashiriki meza ya Bwana. Hivyo kama kawaida  ibada ya pili itaanza saa 4.00 asubuhi. Washarika tujiandae.
 1. NDOA:

NDOA ZA WASHARIKA

Kwa mara ya Kwanza tunatangaza ndoa za tarehe 12.11.2016

SAA 10.00 JIONI

Bw. Eric Siddon Mosha             na     Bi. Akarii Abdallah Godigodi

Matangazo mengine ya Ndoa yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo karibu na duka letu la vitabu

 1. Ibada za Nyumba kwa Nyumba
 • Upanga:  Watatangaziana
 • Kinondoni: Kwa Bwana na Bibi Elinafika Mkumbwa
 • Ilala/Chang’ombe/Mivinjeni: Dr. na Bibi Ruhago
 • Kawe/Mikocheni/Mbezi Beach: Kwa Bibi Stella Sykes
 • Oysterbay/Masaki: Kwa IGP na Bibi Mangu
 • Tabata: Watatangaziana
 • Kijitonyama/Sinza/Mwenge/Makumbusho/Ubungo: Kwa Bwana na Bibi Mamkwe
 • Mjini kati: Watatangaziana
 • Wazo/tegeta/Kunduchi/BahariBeach/Ununio:  Kwa Bwana na Bibi Allen David