MATANGAZO YA USHARIKA

TAREHE 01 JULAI, 2018

SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI 'KIJANA MKRISTO NA MAISHA YA USHUHUDA'

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:  Hakuna wageni waliotufikia na cheti.

3.Tunamshukuru Mungu kwa jinsi anavyojidhihirisha tunapokutana kwa masomo, maombi na maombezi. Hivyo tunapenda kutangaza kwamba, kuanzia jumatatu tarehe 02/07/2018  hadi ijumaa tarehe 06/07/2018  kila siku saa 11.00 jioni  hapa usharikani  tutakuwa na semina itakayoongozwa na Mchungaji Daniel Mgogo toka Mbeya.  Semina hiyo itaambatana na huduma ya maombi na maombezi aidha Mchungaji Mgogo atafundisha kila siku kwenye ibada za Morning Glory.   Wote mnakaribishwa.

4. Leo tutamtolea Mungu fungu la kumi.  Washarika karibuni.

5. Jumapili ijayo tarehe 08/07/2018 ni siku ya ubatizo wa watoto na kurudi kundini.  Washarika watakaohitaji huduma hii wafike ofisini kwa Mchungaji.

6.Uongozi wa Umoja wa vijana unapenda kuwatangazia vijana wote kuwa jumapili ijayo tarehe 08/07/2018 ni sikukuu ya Umoja wa vijana hivyo vijana wanaombwa kujiandaa kwa ajili ya siku hiyo.

7. NDOA.

NDOA ZA WASHARIKA

KWA MARA YA KWANZA TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 21/07/2018

 

SAA 08.00 MCHANA

Bw. Mika Mathayo Ndosa               na     Bi Marystela Kondo Benedict

 

SAA 09.00 ALASIRI

Bw. Amani Goodluck Kamnde         na     Bi Anna Cecilia Katarina Westman

 

          NDOA ZA WASHARIKA

KWA MARA YA TATU TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 05/07/2018

 

SAA 08.00 MCHANA

Bw. Kiiza Emanzi Kemanzi              na     Bi Joyce Dennis Kasyoba

 

TAREHE  07/07/2018

 

SAA 05.00 ASUBUHI

Bw. Emmanuel Tumsifu Jonas        na   Bi Jacqueline Benezeth Benjamin

 

SAA 08.00 MCHANA

Bw. Hans Ikamba Lasway              na     Bi. Ikumbo Charles  Nyange

 

SAA 10.00 JIONI

Bw. Christopher Michael Laban       na     Bi Veronica  Josephat Kweka

 

Matangazo mengine ya ndoa yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo Karibu na duka letu la vitabu

 

8. Ibada za Nyumba kwa Nyumba

- Kinondoni: Kwa Bwana na Bibi Alpha Mlenga

- Ilala/Chang’ombe/Mivinjeni: Kwa Dr. na Bibi David Ruhago

- Kawe/Mikocheni/Mbezi Beach: Kwa Bwana na Bibi Robby Monyo

- Oysterbay/Masaki: Kwa Jaji na Bibi J. Mlay

- Mjini kati:  Kwa Dr. na Dr. Fred Msemwa

- Kijitonyama/Sinza/Mwenge/Makumbusho/Ubungo: Kwa Bwana na Bibi Charles Lyimo

- Wazo/tegeta/Kunduchi/BahariBeach/Ununio: Kwa Dr na Bibi Elihuruma Nangawe

- Tabata: Kwa Bwana na Bibi Elias Kileo

                         

Zamu: Zamu za wazee ni kundi la Kwanza.

Na huu ndio mwisho wa matangazo yetu, Mungu ayabariki.  

 

 

 

 

 

 

ZAMU ZA WAZEE :

IBADA YA I

Mzee  Edward Ngwale           - Neno:Zab.119:9-16 Lk. 2:41-52 1Tim. 4:11-16

Mzee Godfrey Moshi              - Matangazo  

Mzee John Mkony                 - Sunday School

Mzee Juxon Mlay                  - Ndoa      

 

IBADA YA II

Mzee Lillian Mbowe               - Neno: Zab.119:9-16 Lk. 2:41-52 1Tim. 4:11-16

Mzee Vupe Ligate Mpuya       - Matangazo

Mzee  Doris Maro                  - Sunday School

Mzee Elihuruma Nangawe     - Ndoa