Date: 
20-08-2019
Reading: 
Mark 9:38-43 (Marko 9:38-43)

WEDNESDAY  21ST AUGUST 2019 MORNING                 

Mark 9:38-43 New International Version (NIV)

Whoever Is Not Against Us Is for Us

38 “Teacher,” said John, “we saw someone driving out demons in your name and we told him to stop, because he was not one of us.”

39 “Do not stop him,” Jesus said. “For no one who does a miracle in my name can in the next moment say anything bad about me, 40 for whoever is not against us is for us. 41 Truly I tell you, anyone who gives you a cup of water in my name because you belong to the Messiah will certainly not lose their reward.

Causing to Stumble

42 “If anyone causes one of these little ones—those who believe in me—to stumble, it would be better for them if a large millstone were hung around their neck and they were thrown into the sea. 43 If your hand causes you to stumble, cut it off. It is better for you to enter life maimed than with two hands to go into hell, where the fire never goes out.

When we help other people in the name of Jesus those people will be blessed. We too will be blessed. But we are warned to be careful not to do anything bad to cause another person to stumble in their faith. May God always guide our thoughts, words and actions so that they are pleasing to Him and a blessing to other people. 


JUMATANO TAREHE 21 AGOSTI 2019 ASUBUHI                      

MARKO 9:38-43

38 Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi. 
39 Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya; 
40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu. 
41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake. 
42 Na ye yote atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini. 
43 Na mkono wako ukikukosesha, ukate; ni afadhali kuingia katika uzima u kigutu, kuliko kuwa na mikono miwili, na kwenda zako jehanum, kwenye moto usiozimika; 

Wakati tunwatendea watu mema wao watabarikiwa. Sisi pia tutabarikiwa na Mungu. Lakini tunaonywa tusifanye kitu kukwaza mtu katika imani yake. Mungu atusaidia tuwe na mawazo, maneno na matendo mazuri ya kumpendeza Mungu na binadamu.