Date: 
09-02-2021
Reading: 
Malachi 2:4-9

TUESDAY 9TH FEBRUARY 2020 MORNING                                                            

Malachi 2:4-9 New International Version (NIV)

And you will know that I have sent you this warning so that my covenant with Levi may continue,” says the Lord Almighty. “My covenant was with him, a covenant of life and peace, and I gave them to him; this called for reverence and he revered me and stood in awe of my name. True instruction was in his mouth and nothing false was found on his lips. He walked with me in peace and uprightness, and turned many from sin.

“For the lips of a priest ought to preserve knowledge, because he is the messenger of the Lord Almighty and people seek instruction from his mouth. But you have turned from the way and by your teaching have caused many to stumble; you have violated the covenant with Levi,” says the Lord Almighty. “So I have caused you to be despised and humiliated before all the people, because you have not followed my ways but have shown partiality in matters of the law.”

Whatever we have to say and preach, we have to obey the scripture. Those who hear the scripture, must also study it, to know if the message is true or not. God will remove his blessing from those who refuse to give glory to his name.


JUMANNE TAREHE 09 FEBRUARY 2021, ASUBUHI         

MALAKI 2:4-9

Nanyi mtajua ya kuwa mimi nimewapelekeeni amri hii, ili agano langu liwe na Lawi, asema Bwana wa majeshi.
Agano langu naye lilikuwa agano la uhai na amani; nami nikampa ili aogope, naye akaniogopa, akalicha jina langu.
Sheria ya kweli ilikuwa kinywani mwake, wala udhalimu haukuonekana midomoni mwake; alikwenda pamoja nami katika amani na unyofu, na kuwageuza wengi hata wakaacha uovu.
Kwa maana yapasa midomo ya kuhani ihifadhi maarifa, tena yawapasa watu kuitafuta sheria kinywani mwake; kwa kuwa yeye ni mjumbe wa Bwana wa majeshi.
Bali ninyi mmegeuka mkaiacha njia; mmewakwaza watu wengi katika sheria; mmeliharibu agano la Lawi, asema Bwana wa majeshi.
Kwa sababu hiyo mimi nami nimewafanya ninyi kuwa kitu cha kudharauliwa, na unyonge, mbele ya watu wote, kama vile ninyi msivyozishika njia zangu, bali mmewapendelea watu katika sheria.

Lotote tutakalosema na kuhubiri, ni lazima tuheshimu na kutii maandiko matakatifu. Wale wasikiao mafundisho kutoka katika maandiko, ni lazima pia wayasome ili kufahamu ikiwa ujumbe waliosikia ni kweli au sivyo. Mungu ataondoa Baraka zake toka kwa wale wanaokataa kulitukuza jina lake.