Date: 
03-02-2021
Reading: 
JOHN 3:16-21

WEDNESDAY 3RD FEBRUARY 2021 MORNING                                       

JOHN 3:16-21 New International Version (NIV)

16 For God so loved the world that he gave his one and only Son, that whoever believes in him shall not perish but have eternal life. 17 For God did not send his Son into the world to condemn the world, but to save the world through him. 18 Whoever believes in him is not condemned, but whoever does not believe stands condemned already because they have not believed in the name of God’s one and only Son. 19 This is the verdict: Light has come into the world, but people loved darkness instead of light because their deeds were evil. 20 Everyone who does evil hates the light, and will not come into the light for fear that their deeds will be exposed. 21But whoever lives by the truth comes into the light, so that it may be seen plainly that what they have done has been done in the sight of God.

The Light of Christ has exposed God’s work within the heart of the believer. We must always live in the Light of Christ, walking with Him in fellowship, obeying His commands, and renewing our minds with His Word.


JUMATANO TAREHE 3 FEBRUARI 2021 ASUBUHI                        

YOHANA 3:16-21

16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
17 Maana Mungu hakumtuma Mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye.
18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
19 Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
20 Maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasije yakakemewa.
21 Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.

Nuru ya Yesu imedhihirisha kazi za Mungu ndani ya mioyo ya wote wanaomwamini. Imetupasa daima kuishi katika nuru ya Kristo, kutembea katika ushirika pamoja naye, kuzitii amri zake, na kufanywa upya akili zetu kwa neno lake.