Date: 
13-11-2020
Reading: 
JOB 33:1-12 (Ayubu 33:1-12)

FRIDAY 13TH NOVEMBER 2020 MORNING                                      

JOB 33:1-12 New International Version (NIV)

1“But now, Job, listen to my words;
    pay attention to everything I say.
I am about to open my mouth;
    my words are on the tip of my tongue.
My words come from an upright heart;
    my lips sincerely speak what I know.
The Spirit of God has made me;
    the breath of the Almighty gives me life.
Answer me then, if you can;
    stand up and argue your case before me.
I am the same as you in God’s sight;
    I too am a piece of clay.
No fear of me should alarm you,
    nor should my hand be heavy on you.

“But you have said in my hearing—
    I heard the very words—
‘I am pure, I have done no wrong;
    I am clean and free from sin.
10 Yet God has found fault with me;
    he considers me his enemy.
11 He fastens my feet in shackles;
    he keeps close watch on all my paths.’

12 “But I tell you, in this you are not right,
    for God is greater than any mortal.

God is greater than man. Our part is, not to strive with God, but to submit. To believe it is right because He does it, not because we see all the reasons for His doing it.


IJUMAA TAREHE 13 NOVEMBA 2020  ASUBUHI                        

AYUBU 33:1-12 

1 Walakini, Ayubu, nakuomba usikilize matamko yangu, Ukayasikilize maneno yangu yote.
Tazama basi, nimefunua kinywa changu, Ulimi wangu umenena kinywani mwangu.
Maneno yangu yatatamka uelekevu wa moyo wangu; Na hayo niyajuayo midomo yangu itayanena kwa unyofu.
Roho ya Mungu imeniumba, Na pumzi za Mwenyezi hunipa uhai.
Kwamba waweza, nijibu; Yapange maneno yako sawasawa mbele yangu, usimame.
Tazama, mimi ni mbele ya Mungu kama ulivyo wewe; Mimi nami nilifinyangwa katika udongo.
Tazama, utisho wangu hautakutia hofu wewe, Wala sitakulemea kwa uzito.
Hakika umenena masikioni mwangu, Nami nimesikia sauti ya maneno yako, ukisema,
Mimi ni safi, sina makosa; Sina hatia, wala hapana uovu ndani yangu;
10 Tazama, yuaona sababu za kufarakana nami, Hunihesabu kuwa ni adui yake;
11 Hunitia miguu yangu katika mkatale, Na mapito yangu yote huyapeleleza.
12 Tazama, nitakujibu, katika neno hili huna haki; Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu.

Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. Hivyo, hatuhitaji kushindana naye, bali kumtii. Tunahitaji kuamini kwamba, ni haki yake kutenda apendavyo; na siyo kwa sababu tunazo sababu za yeye kutenda hivyo.