Date: 
04-12-2018
Reading: 
James 5:7-8 (Yakobo: 5:7-5)

TUESDAY 4TH DECEMBER 2018 MORNING                                

James 5:7-8 New International Version (NIV)

Patience in Suffering

Be patient, then, brothers and sisters, until the Lord’s coming. See how the farmer waits for the land to yield its valuable crop, patiently waiting for the autumn and spring rains. You too, be patient and stand firm, because the Lord’s coming is near.

Patience is a virtue. It is also part of the Fruit of the spirit. It is hard to wait. Remember that when God delays answering your prayers He has a reason. Ask God what He wants you to learn while you are waiting. Trust in God. His timing is perfect. 

 

JUMANNE TAREHE 4 DISEMBA 2018 ASUBUHI                            

YAKOBO 5:7-8

Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama, mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya mwisho. 
Nanyi vumilieni, mthibitishe mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia. 

Uvumilivu ni sifa njema. Uvumulivu pia ni sehemu ya Tunda la Kiroho. Ni vigumu kusubiri. Lakini kumbuka kama Mungu anakawia kukujibu ana sababu. Uliza Mungu anataka ujifunze nini wakati unasubiri. Mtegemee Mungu. Mungu atakujibu kwa wakati wake na wakati wake ni sahihi.