Date: 
23-07-2018
Reading: 
Isaiah 30:16-18

MONDAY 23RD JULY 2018 MORNING ISAIAH 30:16-18                                                                                                              Isaiah 30:16-18 New International Version (NIV)

16 You said, ‘No, we will flee on horses.’

    Therefore you will flee!

You said, ‘We will ride off on swift horses.’

    Therefore your pursuers will be swift!

17 A thousand will flee

    at the threat of one;

at the threat of five

    you will all flee away,

till you are left

    like a flagstaff on a mountain top,

    like a banner on a hill.”

18 Yet the Lord longs to be gracious to you;

    therefore he will rise up to show you compassion.

For the Lord is a God of justice.

    Blessed are all who wait for him!

We should begin to read the passage with verse 15. This tells us that God has said “ In repentance and rest is your salvation, in quietness and trust is your strength but you would have none of it”. Instead the reaction was as we read in verses 16-17. Instead of facing up to our situation and repenting our sins we may try to run away. But God is always merciful and willing to welcome us and forgive us when we repent of our sins.

Let us come to God is faith and ask Him to forgive our sins.   

 

 JUMATATU TAREHE 23 JULAI 2018 ISAYA 30:16-18

Isaya 30:16-18

16 Bali ninyi mlisema, La! Maana tutakimbia juu ya farasi; basi, ni kweli, mtakimbia; tena, Sisi tutakimbia juu ya wanyama waendao upesi; basi, wale watakaowafuatia watakuwa wepesi. 

17 Elfu moja watakimbia kwa kukemewa na mtu mmoja; kwa kukemewa na watano mtakimbia; hata mtakapoachwa kama mlingoti juu ya kilele cha mlima, na kama bendera juu ya kilima. 

18 Kwa ajili ya hayo Bwana atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana Bwana ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao. 

 

Tukianza na msari wa 15 somo itaeleweka zaidi. Katika mstari wa 15 Mungu alisihi watu kwamba “ Kwa kurudi na kustarehe mtaokolewa; nguvu zenu zitakuwa katika kutulia na kutumaini, lakini hamkukubali”.

Lakini itikio ya muhusika ilikuwa kama tunasoma juu katika mistari ya 16 na 17. Mtu alijaribu kukimbia tatizo badala ya kukabidi na kutubu.

Tuwe tayari kukubali wakati tumekosea na tumwomba Mungu atusamehe. Mungu ni mwenye huruma na upendo siku zote.