Date: 
26-10-2020
Reading: 
Hebrews 3:1-2

MONDAY 26th OCTOBER 2020 MORNING                                                                       

Hebrews 3:1-2 New International Version (NIV)

1 Therefore, holy brothers and sisters, who share in the heavenly calling, fix your thoughts on Jesus, whom we acknowledge as our apostle and high priest. He was faithful to the one who appointed him, just as Moses was faithful in all God’s house. 

To endure the many trials and temptations of the Christian walk, consider Jesus who called us to be the partakers of His Kingdom.

Our calling is heavenly, in which it comes from heaven and culminates in heaven. To be partakers of a heavenly Kingdom means that our focus must be on heaven and the blessings God has promised us there, not on the things of this earth.


JUMATATU TAREHE 26 OKTOBA 2020 ASUBUHI                                           

WAEBRANIA 3:1-2         

1 Kwa hiyo, ndugu watakatifu, wenye kuushiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini sana Mtume na Kuhani Mkuu wa maungamo yetu, Yesu,
aliyekuwa mwaminifu kwake yeye aliyemweka, kama Musa naye alivyokuwa, katika nyumba yote ya Mungu.

Ili kustahimili shida na majaribu katika maisha ya Kikristo, tumtafakari Yesu aliyetuita kuwa warithi wa Ufalme wake.

Wito wetu ni wa kimbingu, ambao hutoka mbinguni na kutimilika mbinguni. Kuwa mrithi wa ufalme wa mbinguni ni kuyatazama yaliyo mbinguni pamoja na Baraka Mungu alizotuahidia kule, na siyo kuyatazama mambo ya dunia hii.