Siku ya Jumamosi tarehe 1 Aprili 2023 imefanyika ibada ya wazee katika Usharika wa Kanisa Kuu Azana Front Cathedral, jijini Dar es Salaam.
Ndugu msharika na mpenzi msomaji wa Kijarida cha Usharika;
Usharika wa Kanisa Kuu la Azania Front, kwa mara ya kwanza katika historia, uliandaa safari ya kiimani na maombi katika nchi za Misri na Israel.
Siku ya Jumapili, tarehe 30/10/2022, Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral ulifanya maadhimisho ya sikukuu ya mavuno pamoja na sikukuu
Siku ya Ijumaa, tarehe 14 Octoba 2022 ilifanyika semina ya siku moja kwa Baraza Jipya la Wazee wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral.
Kama ilivyoainishwa katika kalenda ya KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Jumapili ya tarehe 2 Oktoba 2022 Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cat
Jumapili ya tarehe 18/09/2022 ilifanyika ibada ya kuwaingiza kazini Wazee wa Kanisa pamoja na Viongozi wa Vikundi waliochaguliwa hivi karibuni kati
Mpendwa Msharika, pata nakala ya Kijarida cha Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral kuanzia toleo la kwanza na kuendelea.
Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral mnamo tarehe 3 Julai 2022 ulifanya Harambee kwa ajili ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuendeleza