“Tuwalee Watoto Katika Njia Ya Bwana," hayo ni maneno ya kutoka katika Biblia yaliyotumika katika mahubiri yaliyofanyika katika ibada ya Sikukuu ya

Our delegation in Frondenberg & Bauhasen congregations in Germany.

Jumapili ya tarehe 17 Septemba 2023, Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, Chaplain Charles Mzinga aliongoza ujumbe

Siku ya Jumapili tarehe 16 Julai 2023 ilikuwa ni siku ya Vijana katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, siku ambayo huadhimishwa kila

Tarehe 14-15/06/2023 ilifanyika kambi ya watoto wa Shule ya Jumapili au Sunday School katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, ambapo

Uongozi wa usharika unapenda kuwatangazia wazazi wa watoto wa shule ya jumapili kuwa tarehe 14-15/06/2023 kutakuwa na kambi ya watoto hapa usharika

Hivi karibuni Kwaya ya Agape inayohudumu katika ibada ya Kiswahili kila Jumapili saa moja asubuhi katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathed

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral tarehe 9 Aprili 2023 ulijumuika na wakristo wote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka.

Katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, 7 Aprili 2023 na kuongozwa na Baba Askofu wa Dayosisi

Katika ibada ya Alhamisi Kuu iliyofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, 6 Aprili 2023 na kuongozwa na Baba Askofu wa Dayosi

Pages