Event Date:
30-03-2025

Washarika wote mliojiandikisha, mnakaribishwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Usharika wa Azania Front Cathedral utakaofanyika siku ya Jumapili tarehe 30/3/2025 usharikani Azania Front. Mkutano huo utaanza mara tu baada ya ibada kukamilika.
Siku hiyo, ibada itakuwa moja na itaanza saa 02:00 asubuhi.
Bwana akuwezeshe kuhudhuria!
--------------------------------------------------
Imetolewa: 15/3/2025