Kwaya ya Tarumbeta ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront ni moja ya kwaya zinazofanya vizuri katika Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront.

Mpendwa msharika na watu wote wa Mungu, kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, sasa ni dhahiri kwamba unaweza kushiriki kikamilifu katika

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral unawakaribisha watu wote katika ibada zake za kila siku za Jumapili, pamoja na ibada za katikati

Jumapili ya Tarehe 13/12/2020, Washarika walishuhudia kwaya ya vijana ikizindua album yenye Jina "Hakuna Jina Lingine"  yenye nyimbo 8 katika ibada

Kwaya ya wanawake ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront hivi karibuni ilitembelea kituo cha watoto yatima cha Kiwalani kilichopo jijini Dar es sala

Waalimu wa shule ya Jumapili ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront, hivi karibuni walihudhuria semina iliyoandaliwa na usharika na

KKKT Azaniafront yaadhimisha ‘Sikukuu ya Mavuno’ kwa mwaka 2020

Mtaa wa Tabora ni mmojawapo kati ya mitaa mitano inayotunzwa na Usharika wa Kanisa Kuu la Azaniafront Cathedral.

"Waacheni watoto wadogo waje kwangu, msiwazuie kwa maana ufalme wa mbingu ni wao", hayo ni maneno ya kutoka katika Biblia yaliyotumi

Fuatilia ibada zetu kwa mtandao wa Youtube, Azaniafr

Pages