TAREHE 17/07/2019 - 29/07/2017
“This is a historic visit”, says a group of Americans from Messiah, Marquette, Michigan, USA.
KWAYA KUU YA KANISA KUU AZANIA FRONT YAFANYA SAFARI YA KIUINJILISTI USHARIKA WA KANISA KUU IRINGA – APRIL 2016
Jumapili ya tarehe 24/03/2019 Kwaya Kuu ya Kanisa Kuu la Azania Front ili fanya Uzinduzi wa Kanda yake ya Kwanza ya DVD yenye nyimbo 10 yenye jina
Jumapili ya tarehe 21/10/2018 ilikuwa Sikukuu ya sherehe ya Mavuno ilyofana sana. Ibada iliongozwa na Askofu Dr.
Jumapili ya tarehe 2/9/2018, Askofu Malasusa aliwabariki na kuwaingiza rasmi kazini wazee wa baraza kwa kipindi cha 2018-2022. Aidha katika ibada
Vijana 7 wa usharika wa Azaniafront wamesafiri kwenda Frondenberg Ujerumani katika ziara ya mafunzo kuanzia tarehe 6/7/2018 hadi tarehe 21/07/2018.
Jumapili tarehe 21/01/2018 Usharika wa Azaniafront ulishuhudia matukio 2 muhimu katika ibada ya Kiswahili ya saa 3:30 asubuhi.