Event Date: 
11-05-2021

MPYAAAAA: Pata nakala ya Kijarida cha Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront toleo la Januari mpaka Aprili 2021 kilichokukusanyia matukio na taarifa mbalimbali za usharika kwa kubofya link hapa chini.

AZF Kijarida #10

Kwa maoni mbalimbali kuhusu taarifa na kijarida hiki wasiliana na;

Cuthbert Swai - Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Uhusiano

Simu: +255 763 746 338

Email: cuthe.swai@gmail.com