Date: 
07-07-2018
Reading: 
Ephesians 6:10-12 (Waefeso 6:10-12)

SATURDAY 7TH JULY 2018 MORNING 

Ephesians 6:10-12 New International Version (NIV)

The Armor of God

10 Finally, be strong in the Lord and in his mighty power. 11 Put on the full armor of God, so that you can take your stand against the devil’s schemes. 12 For our struggle is not against flesh and blood, but against the rulers, against the authorities, against the powers of this dark world and against the spiritual forces of evil in the heavenly realms.

Our enemy is Satan and he will try to defeat us. God is much more powerful than Satan. But we are weak. We need God’s help. Put on the armour of God so that you can win battle.  

JUMAMOSI TAREHE 7 JULAI 2018 ASUBUHI

EFESO 6:10-12

10 Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. 

11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. 

12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 

Shetani ni adui wetu na anataka kutuangusha. Ana nguvu lakini Mungu ananguvu sana zaidi. Tumtegemea Mungu na tuzivaa silaha zote za kimwili ili tumshinde Shetani. Peke yetu tutashindwa.