Date: 
11-02-2017
Reading: 
Ephesians 1:11-14 (NIV)

SATURDAY 11TH FEBRUARY 2017 MORNING                       

Ephesians 1:11-14  New International Version (NIV)

11 In him we were also chosen,[a] having been predestined according to the plan of him who works out everything in conformity with the purpose of his will, 12 in order that we, who were the first to put our hope in Christ, might be for the praise of his glory. 13 And you also were included in Christ when you heard the message of truth, the gospel of your salvation. When you believed, you were marked in him with a seal, the promised Holy Spirit, 14 who is a deposit guaranteeing our inheritance until the redemption of those who are God’s possession—to the praise of his glory.

Footnotes:

  1. Ephesians 1:11 Or were made heirs

We are chosen by God. We are redeemed and saved by the precious blood of our Lord Jesus Christ. We have been given the gift of the Holy Spirit to live within us and guide us.  What a privilege. Thank God for your salvation and live to please Him.

JUMAMOSI TAREHE 11 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                

EFESO 1:11-14

11 na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake. 
12 Nasi katika huyo tupate kuwa sifa ya utukufu wake, sisi tuliotangulia kumwekea Kristo tumaini letu. 
13 Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi aliye Mtakatifu. 
14 Ndiye aliye arabuni ya urithi wetu, ili kuleta ukombozi wa milki yake, kuwa sifa ya utukufu wake. 
 

Sisi tumechaguliwa na Mungu. Tumeokolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo. Tumepewa Roho Mtakatifu kuishi ndani yetu na kutuongoza katika maisha yetu. Ni neema kuu. Mshukuru Mungu kwa wokovu wako na uishi maisha yanayompendeza.