Date: 
06-02-2018
Reading: 
Colossians 3:16-17 NIV (Wakolosai 3:16-17)

WEDNESDAY  7TH FEBRUARY 2018 MORNING          

Colossians 3:16-17 New International Version (NIV)

16 Let the message of Christ dwell among you richly as you teach and admonish one another with all wisdom through psalms, hymns, and songs from the Spirit, singing to God with gratitude in your hearts.17 And whatever you do, whether in word or deed, do it all in the name of the Lord Jesus, giving thanks to God the Father through him.

As Christians God’s Word in the Bible is our guide for life. We need to read and meditate upon God’s Word daily. It is good to pray and read The Bible on our own and also with other Christians. We meet together on Sundays to worship God. On other days we can meet with our neighbours in House to House Fellowship and worship God together, and encourage one another in the faith. It is also good to worship God together with our families at home.

 

JUMATANO TAREHE 7 FEBRUARI 2018 ASUBUHI     

WAKOLOSAI 3:16-17

16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. 
17 Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. 

Kama Wakristo Neno la Mungu katika Biblia ni mwongozo wa maisha yetu. Tunapaswa kusoma na kutafakari Biblia kila siku. Tusome Biblia pekee yetu na pamoja na wenzetu. Tuwe na bidii kuhudhuria ibada kanisani na pia tujumuike na majirani zetu katika Ibada za Nyumba kwa Nyumba, ili tusali pamoja na tufundishana Neno la Mungu. Hayo yatatusaidia kukua kiroho.