Hii ni orodha ya Baraza Jipya la Wazee wa Kanisa wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral. Baraza hili jipya lenye jumla ya wajumbe 33 ambao wamepatikana baada ya kufanyika uchaguzi na hivyo wajumbe hao kupigiwa kura nyingi na washarika wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front mnamo mwezi Agosti 2022.

Kwa mujibu wa Katiba ya KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani pamoja na Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front, wajumbe hawa watahudumu kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2022 mpaka 2026.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza Jipya la Wazee  (2022-2026) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wazee waliomaliza muda wao (2018-2022) wakati wa ibada ya kuwaaga Wajumbe wa Baraza waliomaliza muda wao na kuwaingiza kazini wajumbe wa Baraza jipya. Ibada iliongozwa na Baba Askofu Dk Alex Malasusa, 18 Agosti 2022.

Soma zaidi: https://www.azaniafront.org/wazee-wa-kanisa-na-viongozi-wa-vikundi-waing...

--------------------------------------------------------------

BARAZA LA WAZEE WA KANISA: 2022-2026

Mwenyekiti: 
CHARLES MZINGA (CHAPLAIN)
Wajumbe: 
 • 1. EDWIN KAKOLAKI (JUDGE)
 • 2. REST LASWAY (DR)
 • 3. ARON NDASIWA
 • 4. RUTH ALICE MAKANI
 • 5. GEORGE LUCAS KINYAHA
 • 6. REBECCA MWANGOKA
 • 7. BRENDA MSANGI KINEMO
 • 8. SAMUEL SWAI (DR)
 • 9. JOAN RUGEMALILA MATEE (DR)
 • 10. JOHN LYANGA
 • 11. DORIS MARO
 • 12. VICTOR KIDA
 • 13. JANETH MKONY
 • 14. HAROLD TEMU (ENG)
 • 15. MARTHA MKONY (DR)
 • 16. SIMON JENGO
 • 17. ANITHA RWEHUMBIZA
 • 18. WILFRED MOSHI (ARCH)
 • 19. HILDA RWANSHANE
 • 20. EVATT KUZILWA
 • 21. REHEMA MAYANKA SANARE
 • 22. FRED MSEMWA (DR)
 • 23. MPALE SILKILUWASHA (DR)
 • 24. CUTHBERT SWAI
 • 25. ELIETH KILEO TOYA
 • 26. STEPHEN KATIKAZA
 • 27. JAQUELINE JUNIOR SWAI
 • 28. NSAA-IYA KIHUNRWA
 • 29. TULIZO SHEMU SANGA(DR)
 • 30. MCHARO MLAKI (ENG)
 • 31. KUMBWAEL SALEWI ENG/DR
 • 32. VUPE LIGATE MPUYA
 • 33. NANGI MASSAWE