Event Date:
13-03-2023
Ndugu msharika na mpenzi msomaji wa Kijarida cha Usharika;
Pata nakala ya Kijarida cha Usharika toleo la 13. Toleo hili limesheheni taarifa na matukio ya kipindi cha kuanzia Octoba 2022 mpaka Januari 2023. Pia kuna muhtasari wa taarifa fupi za Usharika wa Aania Front Cathedral kwa kipindi cha mwaka uliomalizika wa 2022.
Pata kijarida katika link hapa chini na Bwana akubariki.