Event Date: 
31-03-2021

Mpendwa msharika na watu wote wa Mungu, hii hapa ni ratiba ya ibada zetu katika msimu huu wa sikukuu za Pasaka za mwaka 2021. Unakaribishwa kuhudhuria misa takatifu hapa usharikani. Pia unaweza kufuatilia ibada hizi kwa ukaribu ukiwa mahali popote duniani kwa kuangalia LIVE kupitia chaneli yetu ya YouTube ya AZANIAFRONT TV.

Karibu sana na Mungu akubariki.

01/04/2021: Alhamisi Kuu - Ibada mbili
     * Ibada ya Kiingereza: Saa 11:00 jioni
     * Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 usiku

02/04/2021: Ijumaa Kuu - Ibada tatu
    * Ibada ya Kiswahili: Saa 02:00 asubuhi
    * Ibada ya Kiingereza: Saa 04:30 asubuhi
    * Ibada ya Kiswahili + Igizo la Pasaka: Saa 08:00 mchana

04/04/2021: Jumapili (PASAKA) - Ibada tatu
    * Ibada ya Kiswahili: Saa 01:00 asubuhi
    * Ibada ya Kiingereza: Saa 03:00 asubuhi
    * Ibada ya Kiswahili: Saa 04:30 asubuhi

05/04/2021: Jumatatu ya Pasaka - Ibada moja
    * Ibada ya Kiswahili + Ubatizo: Saa 02:00 asubuhi