Watoto wa Shule ya Jumapili ya Azania Front na waalimu wao waadhimisha sikukuu ya Mikaeli

Jumapili ya tarehe 12/10/2014, watoto wa Shule ya Jumapili ya Azania Front na waalimu wao waliaadhimisha sikukuu ya Mikaeli katika ibada zote kwa nyimbo, ngonjera na kukariri mistari ya biblia. Walionyesha umahirina kujiamini katika yote walioonyeshambele ya washarika. Aidha walikuwa na ujumbe uliogusa rika zote.