Date: 
02-11-2019
Reading: 
2 Timothy 2:14-19

SATURDAY 2ND NOVEMBER  2019  ASUBUHI                                              
2 Timothy 2:14-19 New International Version (NIV)
14 Keep reminding God’s people of these things. Warn them before God against quarreling about words; it is of no value, and only ruins those who listen. 15 Do your best to present yourself to God as one approved, a worker who does not need to be ashamed and who correctly handles the word of truth. 16 Avoid godless chatter, because those who indulge in it will become more and more ungodly. 17 Their teaching will spread like gangrene. Among them are Hymenaeus and Philetus, 18 who have departed from the truth. They say that the resurrection has already taken place, and they destroy the faith of some. 19 Nevertheless, God’s solid foundation stands firm, sealed with this inscription: “The Lord knows those who are his,” and, “Everyone who confesses the name of the Lord must turn away from wickedness.”

Paul is willing to argue when the gospel is at stake (e.g. Galatians 2:11). What he prohibits here is pointless argument that has no positive, practical impact on people. God knows us as His own and that through our diligent, careful study and application of His Word of truth, we are growing in godliness. 


JUMAMOSI TAREHE 2 NOVEMBA 2019  ASUBUHI                               
 2TIMOTHEO 2:14-19
14 Uwakumbushe mambo hayo, ukiwaonya machoni pa Mungu, wasiwe na mashindano ya maneno, ambayo hayana faida, bali huwaharibu wasikiao.
15 Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.
16 Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu,
17 na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto,
18 walioikosa ile kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha kuwapo, hata kuipindua imani ya watu kadha wa kadha.
19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu


 Paulo alikuwa tayari kushindana pale Injili ilipoonekana kuwa hatarini (mf. Wagalatia 2:11). Anachokataza hapa ni mijadala isiyo na matokeo chanya kwa maisha ya watu. 
Mungu anatujua kuwa tu watu wake, na kupitia juhudi zetu katika kujifunza, na kulitumia vyema neno lake la kweli, tunazidi katika kumjua yeye.