Date: 
28-07-2018
Reading: 
2 Corinthians 2:5-11 (2Wakorintho 2:5-11)

 SATURDAY 28TH JULY 2018 MORNING                                 

2 Corinthians 2:5-11 New International Version (NIV)

Forgiveness for the Offender

If anyone has caused grief, he has not so much grieved me as he has grieved all of you to some extent—not to put it too severely. The punishment inflicted on him by the majority is sufficient. Now instead, you ought to forgive and comfort him, so that he will not be overwhelmed by excessive sorrow. I urge you, therefore, to reaffirm your love for him. Another reason I wrote you was to see if you would stand the test and be obedient in everything. 10 Anyone you forgive, I also forgive. And what I have forgiven—if there was anything to forgive—I have forgiven in the sight of Christ for your sake, 11 in order that Satan might not outwit us. For we are not unaware of his schemes.

The Apostle Paul has advised the church at Corinth about church discipline. He is following the practice which Christ gave to the Apostles. The church is given authority to forgive the sins of those who repent and turn from their sins. This is on behalf of God that the church through ordained Ministers declare God’s forgiveness. Sin is not just an individual matter. All sin is an offence against God but often it is also breaks fellowship with other people. In such cases the sin should be publicly repented.

Thank God that your sins can be forgiven. If you need special help speak to your Pastor.

JUMAMOSI TAREHE 28TH JULAI 2018 ASUBUHI                  

2 KORINTHO 2:5-11

Lakini iwapo mtu amehuzunisha, hakunihuzunisha mimi tu, bali kwa sehemu (nisije nikalemea mno), amewahuzunisha ninyi nyote. 
Yamtosha mtu wa namna hii adhabu ile aliyopewa na walio wengi; 
hata kinyume cha hayo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyo asije akamezwa katika huzuni yake ipitayo kiasi. 
Kwa hiyo nawasihi kumthibitishia upendo wenu. 
Maana naliandika kwa sababu hii pia, ili nipate bayana kwenu kwamba mmekuwa wenye kutii katika mambo yote. 
10 Lakini kama mkimsamehe mtu neno lo lote, nami nimemsamehe; kwa maana mimi nami, ikiwa nimemsamehe mtu neno lo lote, nimemsamehe kwa ajili yenu mbele za Kristo, 
11 Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake. 

Mtume Paulo anafundisha kanisa kule Korintho kuhusu utaratibu wa kutangaza msamaha wa dhambi. Ni utaratibu ambao Yesu Kristo alianzisha mwenyewe. Katika kanisa letu tunaendeleza kama ibada ya kurudi kundini.

Kanisa limepewa mamlaka kupitia Wachungaji wake kutangaza msamaha wa dhambi kwa niaba ya Mungu.

Mungu yu tayari kusamehe dhambi zako. Kama unahitaji ushauri na huduma zaidi umwone Mchungaj

i wako.