WEDNESDAY 15TH JULY 2020 MORNING 1TIMOTHY 6:20-21
1TIMOTHY 6:20-21 New International Version (NIV)
20 Timothy, guard what has been entrusted to your care. Turn away from godless chatter and the opposing ideas of what is falsely called knowledge, 21 which some have professed and in so doing have departed from the faith.
Grace be with you all.
The most effective way to confront the false teachings is to know the Truth of scripture and proclaim that truth. We can defend God’s Word as truth by proclaiming it; and God’s Word is sufficient for its own defense.
JUMATANO TAREHE 15 JULAI 2020 ASUBUHI
1TIMOTHEO 6:20-21
20 Ee Timotheo, ilinde hiyo amana; ujiepushe na maneno yasiyo ya dini, yasiyo na maana, na mashindano ya elimu iitwayo elimu kwa uongo;
21 ambayo wengine wakiikiri hiAyo wameikosa Imani.
Neema na iwe pamoja nanyi.
Njia iliyo sahihi zaidi ya kupambana na mafundisho ya uongo ni kuijua kweli ya neno la Mungu na kuitangaza kweli hiyo. Tunaweza kuilinda kweli ya neno kwa kuihubiri; na neno la Mungu linajitosheleza, na linaweza kujitetea lenyewe.