Date: 
23-11-2020
Reading: 
1Thessalonians 1:3-7 (1 Wathesalonike 1:3-7)

MONDAY 23RD  NOVEMBER 2020 MORNING                                                     

1Thessalonians 1:3-7  New International Version (NIV)

We remember before our God and Father your work produced by faith, your labor prompted by love, and your endurance inspired by hope in our Lord Jesus Christ.

For we know, brothers and sisters[b] loved by God, that he has chosen you, because our gospel came to you not simply with words but also with power, with the Holy Spirit and deep conviction. You know how we lived among you for your sake. You became imitators of us and of the Lord, for you welcomed the message in the midst of severe suffering with the joy given by the Holy Spirit. And so you became a model to all the believers in Macedonia and Achaia. 

People without hope are people without a future. When hope is restored, life also is restored. Jesus gives a sure basis for hope. He has promised to return to earth to receive His own. Until then, we have help through the power of the Holy Spirit.


TAREHE 23 NOVEMBA 2020 ASUBUHI                                                                 

WATHESALONIKE 1:3-7

Wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya imani, na taabu yenu ya upendo, na saburi yenu ya tumaini lililo katika Bwana wetu Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu.
Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, twajua uteule wenu;
ya kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, bali na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthibitifu mwingi; kama vile mnavyojua jinsi zilivyokuwa tabia zetu kwenu, kwa ajili yenu.
Nanyi mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea neno katika dhiki nyingi, pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu.
Hata mkawa kielelezo kwa watu wote waaminio katika Makedonia, na katika Akaya.

Watu wasio na tumaini ni watu pasipo maisha yajayo. Tumaini linaporejeshwa, maisha pia hurejeshwa. Yesu anatupa msingi wa hakika ya tumaini letu. Alituahidi kurudi duniani kuwachukua walio wake. Hadi hapo atakaporudi, Roho Mtakatifu ataendelea kuwa msaada wetu.