Date: 
26-06-2020
Reading: 
1Corinthians 12:28-31

FRIDAY 26TH JUNE 2020 MORNING                                                      

1 Corinthians 12:28-31 New International Version (NIV)

28 And God has placed in the church first of all apostles, second prophets, third teachers, then miracles, then gifts of healing, of helping, of guidance, and of different kinds of tongues. 29 Are all apostles? Are all prophets? Are all teachers? Do all work miracles? 30 Do all have gifts of healing? Do all speak in tongues[d]? Do all interpret? 31 Now eagerly desire the greater gifts.

The Corinthians were eager for gifts that granted them high social or spiritual status. Paul asks them to allow him to redefine the greater gifts as those that build up others rather than self.  The gifts that are despised, those considered the lowest or ordinary are the greatest. We have to pursue with love, self-sacrificial service to others.


IJUMAA TAREHE 26 JUNI 2020  ASUBUHI                                        

1Wakorintho 12:28-31

28 Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na maongozi, na aina za lugha.
29 Je! Wote ni mitume? Wote ni manabii? Wote ni waalimu? Wote wanatenda miujiza?
30 Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri?
31 Takeni sana karama zilizo kuu. Hata hivyo nawaonyesha njia iliyo bora.

Wakristo wa Korintho walitamani zile karama zinazoweza kuwaletea heshima kiroho na kijamii. Lakini Mtume Paulo anawataka kumruhusu ili awafafanulie karama zilizo kuu ambazo hutumika kuwajenga wengine kuliko kumjenga mtu mmoja. Karama zile zilizodharauliwa, zile zinazodhaniwa kuwa ni za chini au za kawaida, ndizo zilizo kuu. Basi tufuate kwa upendo ili kupata karama ile ya kujitoa kwa ajili ya wengine.