Date: 
14-10-2017
Reading: 
1 Corinthians 9:13 NIV (1 Wakorintho 9:13)

SATURDAY 14th OCTOBER 2017 MORNING

1 Corinthians 9:13-New International Version (NIV)

Let us be Faithful Ministers of God

13 Don’t you know that those who serve in the temple get their food from the temple, and that those who serve at the altar share in what is offered on the altar?

Message

The Apostle Paul shows that the Corinthians did not know the relation of the priests or the ministers to the altar of God. Paul shows that the altar of God has set aside special sections for the priests and their ministers. Therefore, not every offering from the altar to God is a legal part of the priests and ministers. But God's altar has many provisions for serving the rest of the people who rely on it, including ordinary Christians. The Apostle Paul's call is to encourage us to continue to be faithful ministers at the altar of God so that we can obtain a legal basis for our lives.

JUMAMOSI YA TAREHE 14th OKTOBA 2017 ASUBUHI

Marko 7:8

Tuwe Watumishi Waanifu wa Mungu

13 Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu? 

Ujumbe

Mtume Paulo anaonesha kwamba Wakorintho hawakujua uhusiano wa makuhani au wahudumu na madhabahu ya Mungu. Paulo anaonesha kwamba madhabahu ya Mungu imetenga fungu maalumu kwa ajili ya makuhani na wahudumu wao. Kwa hiyo si kila kitolewacho madhabahuni kwa Mungu ni fungu halali la makuhani na wahudumu. Kumbe madhabahu ya Mungu ina mafungu mengi ya kuhudumia watu wengine wanaoitegemea hiyo madhabahu, ikiwa ni pamoja na wakristo wa kawaida. Wito wa mtume Paulo ni kutuhimiza kuendelea kuwa wahudumu waaminifu katika madhabahu ya Mungu ili tuweze kupata fungu halali kwa ajili ya maisha yetu.