Date: 
15-12-2017
Reading: 
Zechariah 2:9-10 NIV ( Zekaria 2:9-10)

FRIDAY 15TH DECEMBER 2017 MORNING

Zechariah 2:9-10 New International Version (NIV)

I will surely raise my hand against them so that their slaves will plunder them.[a] Then you will know that the Lord Almighty has sent me.

10 “Shout and be glad, Daughter Zion. For I am coming, and I will live among you,” declares the Lord.

Footnotes:

  1. Zechariah 2:9 Or says after … eye: “I … plunder them.”

Verse 10 of the above reading is a prophecy about the coming of Jesus Christ to live among his people. There are several similar prohesies in the Old Testament about the coming of Jesus Christ. This proves that Jesus was in God's plans from the begining. You can read more about this at https://answersingenesis.org/jesus-christ/birth/fulfilled-prophecies-at-...

 

IJUMAA TAREHE 15 DISEMBA 2017 ASUBUHI

Zekaria 2: 9 - 10

9 Kwa maana, tazama, nitatikisa mkono wangu juu yao, nao watakuwa mateka ya hao waliowatumikia; nanyi mtajua ya kuwa Bwana wa majeshi amenituma.
10 Imba, ufurahi, Ee binti Sayuni; maana, tazama, ninakuja, nami nitakaa kati yako, asema Bwana.

Mstari wa 10 wa somo la leo, ni utabiri wa kuja kwa Yesu Kristo na kuishi kati ya watu wake. Kuna maandiko kadhaa katika Agano la Kale yanayotabiri kuja kwa Yesu Kristo. Ni ushahidi kwamba Yesu Kristo alikuwa katika mpango wa Mungu tangu mwanzo. Soma Isaya 17:14, Mika 5:2, Yeremia 31:15