Date: 
21-02-2018
Reading: 
Romans 6:12-14 NIV (Warumi 6:12-14)

WEDNESDAY 21ST FEBRUARY 2018 MORNING      

Romans 6:12-14 New International Version (NIV)

12 Therefore do not let sin reign in your mortal body so that you obey its evil desires. 13 Do not offer any part of yourself to sin as an instrument of wickedness, but rather offer yourselves to God as those who have been brought from death to life; and offer every part of yourself to him as an instrument of righteousness. 14 For sin shall no longer be your master, because you are not under the law, but under grace.

As Christians we are no longer under the power of Satan. Jesus has died for us to set us free from Satan’s power. Let us commit ourselves to obey and serve God.

JUMATANO TAREHE 21 FEBRUARI 2018 ASUBUHI         

WARUMI 6:12-14

12 Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake; 
13 wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki. 
14 Kwa maana dhambi haitawatawala ninyi, kwa sababu hamwi chini ya sheria, bali chini ya neema. 
 

Kama Wakristo tumeokolewa na Yesu Kristo. Yesu  Kristo alitufia msalabani. Shetani hana mamlaka juu ya maisha yetu tena. Sisi tu mali ya Bwana. Basi tumtegemee na kumtumikia Mungu, na si Shetani.