FRIDAY 8TH NOVEMBER 2019 MORNING PROVERBS 10:1-7
Proverbs 10:1-7 New International Version (NIV)
1A wise son brings joy to his father,
but a foolish son brings grief to his mother.
2 Ill-gotten treasures have no lasting value,
but righteousness delivers from death.
3 The Lord does not let the righteous go hungry,
but he thwarts the craving of the wicked.
4 Lazy hands make for poverty,
but diligent hands bring wealth.
5 He who gathers crops in summer is a prudent son,
but he who sleeps during harvest is a disgraceful son.
6 Blessings crown the head of the righteous,
but violence overwhelms the mouth of the wicked.[a]
7 The name of the righteous is used in blessings,[b]
but the name of the wicked will rot.
Your wisdom will help other people. For children, wisdom will bring joy to their parents. If you are foolish, then you live for your own pleasure. If you do this, then you refuse God's wisdom. Therefore, other people will suffer because you are a fool.
IJUMAA TAREHE 8 NOVEMBA 2019 ASUBUHI
MITHALI 10:1-7
1 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.
2 Hazina za uovu hazifaidii kitu; Bali haki huokoa na mauti.
3 Bwana hataiacha nafsi ya mwenye haki ife na njaa; Bali tamaa ya mtu mwovu huisukumia mbali.
4 Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.
5 Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.
6 Baraka humkalia mwenye haki kichwani; Bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu.
7 Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza.
Ukiwa na hekima, itawafaa watu wengine. Kwa watoto, hekima huleta raha kwa wazazi wao. Mtu mjinga anaishi kwa ajili ya kujifurahisha mwenyewe. Kufanya hivyo, ni kukataa hekima ya Mungu. Hivyo, jamii itapata shida kwa sababu ya ujinga wa mtu mmoja.