MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 17 JUNI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI TUDHAMIRIE MAMOJA
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna wageni waliotufikia na cheti
3. Tunamshukuru Mungu kwa jinsi anavyojidhihirisha tunapokutana kwa masomo, maombi na maombezi siku za alhamisi jioni. Alhamisi ijayo tarehe 21/06/2018 kutakuwa na kipindi cha maombi na maombezi yatakayoanza saa 11.30 jioni. Wote mnakaribishwa.
4. Jumapili ijayo tarehe 24/06/2017 tutashiriki Chakula Cha Bwana. Hivyo ibada ya pili itaanza saa 4.00 asubuhi. Washarika tujiandae.
5. Mkutano wa VICOBA ya Wajane na Wagane utafanyika jumamosi ya tarehe 30/06/2018 saa 3.00 asubuhi. Wahusika wote wanaombwa kuhudhuria.
6. NDOA.
NDOA ZA WASHARIKA
KWA MARA YA KWANZA TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 05/07/2018
SAA 08.00 MCHANA
Bw. Kiiza Emanzi Kemanzi na Bi Joyce Dennis Kasyoba
TAREHE 07/07/2018
SAA 05.00 ASUBUHI
- Bw. Emmanuel Tumsifu Jonas naBi Jacqueline Benezeth Benjamin
SAA 08.00 MCHANA
- Bw. Hans Ikamba Lasway naBi. Ikumbo Charles Nyange
SAA 10.00 JIONI
- Bw. Christopher Michael Laban na Bi VeronicaJosephat Kweka
KWA MARA YA PILI TUNATANGAZA NDOA ZA TAREHE 30/06/2018
SAA 9.00 ALASIRI
Bw. John Ndisha Furahini na Bi Anneth Adolph Makenja
NDOA HII IFUATAYO ITAFUNGWA KANISA LA KATOLIKI PAROKIA YA UPANGA.
Bw. Derick Mujuni Kajukano na Bi. Anita Abednego Kinasha
Matangazo mengine ya ndoa yamebandikwa kwenye ubao wa matangazo Karibu na duka letu la vitabu.
7. Ibada za Nyumba kwa Nyumba
- Kinondoni: Kwa Bwana na Bibi T.M. Onesmo
- Ilala/Chang’ombe/Mivinjeni: Kwa Dk na Bibi David Ruhago
- Kawe/Mikocheni/Mbezi Beach: Kwa Mama Happines Chamungwana
- Mjini kati: Kwa Bwana na Bibi Kabezi
- Kijitonyama/Sinza/Mwenge/Makumbusho/Ubungo: Kwa Bwana na Bibi Simon Jengo
- Wazo/tegeta/Kunduchi/BahariBeach/Ununio: Kwa ………
- Tabata: Kwa Oscar na Imaculate
8. Zamu: Zamu za wazee ni kundi la Kwanza.
Na huu ndio mwisho wa matangazo yetu, Mungu ayabariki.