Project:
Kiharaka Spiritual Center
Baada ya takriban miaka 10 tangu mradi uanze, mapitio mapya yalifanyika ili kuwa na michoro kamili yenye masterplan na majengo yote yatakayojengwa kwenye mradi. Aidha ilifanywa tathmini mpya ya gharama za mradi. Yafuatayo ni baadhi ya majengo ya kukaa wageni yakiwa na ukubwa wa tofauti kulingana na mahitaji.



