Event Date:
25-03-2024

Hii hapa ni Ratiba ya Ibada za Pasaka 2024 zitakazofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.
MUHIMU: Ibada zote zitakuwa zinarushwa LIVE kupitia Channel ya YouTube: Azania Front TV: https://www.youtube.com/@AzaniaFrontTv/featured
Karibu Tumtukuze Mungu Wetu Katika Sikukuu Hii ya Pasaka 2024!